Wanafunzi sita wa sekondari nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wamepigwa marufuku kuhudhuria shule yeyote katika taifa hilo baada ya video ya ngono waliyoshiriki kusambaa mtandaoni.
Add a commentKikundi cha waasi cha eneo la Tigray, Ethiopia kimesema kuwa watu 150 wamekufa kutokana na njaa na kukosekana kwa misaada ya kibinadamu kunafanya hali kuwa mbaya zaidi.
Add a commentWatafiti wanachunguza aina mpya ya virusi vya corona nchini Afrika Kusini, Ambapo Virusi hivyo aina ya C.1.2 huzaana mara mbili zaidi lakini havijatajwa kuwa vyenye kutia wasiwasi.
Add a commentRais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma ameshutumu mahakama kwa kutoamini ripoti ya kitabibu na madaktari wa jeshi na amekataa kufanyiwa uchunguzi na daktari aliyechaguliwa na mamlaka ya mashtaka.
Add a commentKatibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka tena kusitishwa mapigano mara moja katika eneo la Ethiopia la Tigray, ambapo vikosi vya serikali na wapiganaji waasi wamekuwa katika mizozo tangu Novemba mwaka jana.
Add a commentSiku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]
Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.