Star Tv

Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Rhoda James mwenye umri wa miaka 25 mkazi wa kijiji cha Turugeti Kata ya Bumera Wilayani Tarime Mkoani Mara amefukukuzwa nyumbani kwake akiwa na mtoto mdogo wa siku sita pamoja na watoto wake wanne.

Add a comment

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ametoka katika gereza la Segerea leo jioni Ijumaa Machi 13, 2020 baada ya kukamilisha kulipa faini ya Shilingi Milioni 70.

Add a comment

Baadhi ya waombolezaji waliokuwa wakisubiri mwili wa marehemu Salome Zacharia (Mfanyakazi wa ndani jijini Arusha) nje ya hospitali ya Mount Meru wametoa maoni tofauti wakati wakizungumza na Star Tv wakisema kuwa kitendo hicho kilichofanywa na mwajiri wa binti huyo ni cha kikatili na serikali inapaswa kumchukulia  hatua za kumuwajibisha.

Add a comment

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia  na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amelipa faini ya Shilingi milioni 70,000,000 na muda wowote kuanzia leo Ijumaa Machi 13, 2020 anatarajiwa kutoka katika gereza la Segerea.

Add a comment

Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Dar es Salaam Kimemsaidia  mwanachama wake mpya faini ya shilingi milioni 30 Dkt. Vicent Mashinji ambaye alikutwa na hatia kwenye makossa kadhaa  aliyomewa na katika mahakama ya hakimu mkazi hapo jana Machi 10,2020.

Add a comment

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli ametoa tahadhari kuhusu ugonjwa unaotokana na virusi vya homa ya corona, akiwataka watanzania kuwa makini juu ya ugonjwa huu kwani janga la kimataifa ambapo mpaka sasa umegharimu maisha ya watu wengi duniani kutoka nchi tofauti.

Add a comment

Waziri wa afya na mbunge wa chama cha Conservative nchini Uingereza Nadine Dorries amekutwa na maambukizi ya virusi vya corona.

Add a comment

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli ametoa shilingi milioni 38 kwa ajili ya  kumtoa Mbunge wa Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa  wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ili atoke gerezani.

Add a comment

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemhukumu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake kulipa faini ya Shilingi Milioni 350 ama kwenda jela miezi 5 baada ya kupatikana na hatia kwenye makosa 12 likiwemo la kufanya maandamano.

Add a comment

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.