Star Tv

Watu nane wakiwemo wanawake wenye asili ya bara Asia wameuawa katika ufyatuaji risasi jimboni Georgia nchini Marekani.

Add a comment

Mkosoaji wa utawala wa Kremlin nchini Urusi Alexei Navalny ameandika katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa instagram kwamba anazuiliwa katika kambi ya mateso eneo la Vladimir Kaskazini Mashariki mwa mji mkuu, Moscow.

Add a comment

Rais wa Marekani Joe Biden amesema ifikapo Mei Mosi mwaka huu, kila Mmarekani mwenye miaka 18 ataweza kupata chanjo ya COVID-19.

Add a comment

Kampuni ya AstraZeneca imebainisha kuwa kwasasa tayari imeanza kuelemewa katika hatua yake ya kusambaza chanjo hiyo ya kudhibiti COVID-19 barani Ulaya.

Add a comment

Japan leo inaadhimisha miaka 10 tangu kutokea kwa janga baya zaidi la asili katika historia ya nchi hiyo ambalo ni tetemeko kubwa la ardhi, tsunami na kuyeyuka kwa nyuklia lililoathiri taifa hilo.

Add a comment

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.