Mji Mkuu wa Somalia Mogadishu, Jumatatu hii umeripotiwa kuwa shwari baada ya mapigano kati ya wanaounga mkono upinzani na vikosi vya usalama vya serikali, Redio binafsi ya Risala imeripoti.
Add a commentWaziri wa ulinzi wa Uingereza Ben Wallace amesema si kweli kwamba waziri mkuu Boris Johnson alisema hatajali kuona mrundikano wa maelfu ya miili ya watu na kamwe hataagiza awamu ya tatu ya kufunga shughuli za umma nchini humo.
Add a commentMfanyakazi wa hospitali nchini Italia ameshutumiwa kwa kuacha kazi huku akiwa anaendelea kupokea malipo kamili ya mshahara kwa miaka 15, ripoti vyombo vya habari nchini humo vimeripoti.
Add a commentWizara ya mambo ya ndani ya Iraq imesema watu 82 wamekufa huku wengine 110 wakijeruhiwa katika mkasa mkubwa wa moto katika vyumba vya wagonjwa mahututi katika hospitali moja mjini Baghdad inayowahudumia wagonjwa wa virusi vya corona.
Add a commentKampuni yenye makao yake nchini Lesotho imeruhusiwa kuuza mazao ya bangi kwa ajili ya matumizi ya dawa kwa Muungano wa Ulaya.
Add a commentSiku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]
Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.