Marekani imemaliza vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Burundi miaka sita iliyopita, ikitoa mfano wa mageuzi nchini humo.
Add a commentTakriban watu milioni mbili ambao hawajachanjwa kikamilifu dhidi ya Covid-19 wamewekwa chini ya zuio la kutotoka nje nchini Austria huku nchi hiyo ikikabiliwa na kuongezeka kwa visa vya ugonjwa huo.
Add a commentWaendesha mashtaka wa Ufaransa wamefungua uchunguzi kuhusu madai ya ubakaji katika ikulu ya rais mjini Paris.
Add a commentWawakilishi wa mataifa duniani wanaokutana mjini Glasgow kwa mkutano wa kimataifa wa mabadiliko ya tabia ya nchi wa COP26 wametumia siku ya Jumamosi kupigania uwezekano wa kufikia mkataba.
Add a commentMwanzilishi wa mtandao wa wikileaks Julian Assange ameruhusiwa kufunga ndoa akiwa jela.
Add a commentSiku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]
Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.