Star Tv

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ametoa taarifa ya mwenendo wa Ugonjwa wa Corona nchini leo Aprili 29,2020, ambapo amesema kuwa kuna maambukizi mapya ya ugonjwa huo kwa Watanzania 196.

Katika visa hivyo 196 watu 174 wanatoka  Bara na kwa upande wa Zanzibar  wamepatikana 22 ambao wamefanya idadi ya Watanzania waliopata maambukizi ya ugonjwa huo kufikia 480.

Aidha amesema kuwa idadi ya wagonjwa waliopona imeongezeka kutoka 48 hadi kufikia 167, (Ambapo Zanzibar wagonjwa 36 wamepona, na kwa upande wa Bara wagonjwa 83 wamepona na kuruhusiwa kutoka hospitalini.

Waziri Majaliwa amesema vifo 6 vimetokea ambavyo vimefanya jumla ya waliofariki kwa ugonjwa wa Corona kufikia 16 hadi sasa.

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.