Star Tv

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah J. Kairuki akiwasili Makao Makuu ya Ofisi za Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) Dar es salaam na kupokelewa na Mkurugenzi wa DART, Dkt. Edwin Mhede leo Oktoba 10, 2022

Waziri Kairuki atafanya ziara ya siku mbili katika Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) ambapo siku ya kwanza atapokea Taarifa ya utendaji wa DART na kuongea na Menejimenti ya Wakala pamoja na Watumishi wa DART.

Aidha siku ya tarehe 12/10/2022, atatembelea Miradi ya Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) kwa kukagua vituo vya mabasi na huduma zinazotolewa kuanzia kituo cha Mabasi cha Kimara mpaka Mbagala.

Latest News

Waziri Mkuu Akagua Visima Vya Dharura Dar Es Salaam
10 Nov 2022 13:31 - Kisali Shombe

¬†WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua visima vya dharura vinavyosafishwa, kufufuliwa na kuunganishwa katika mfumo wa us [ ... ]

Waziri Wa Afya Aagiza Udhibiti Magonjwa Ya Mlipuko
09 Nov 2022 14:15 - Kisali Shombe

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ameagiza vituo vyote vya kutolea huduma za afya vya binafsi na serikali kuweka kituo maalum  [ ... ]

Vifo vitokanavyo na Utoaji wa Mimba usio salama, Kudhibitiwa
09 Nov 2022 13:21 - Kisali Shombe

Mpango wa idara ya afya wa kutoa elimu ya afya ya uzazi na matumizi ya uzazi wa mpango unatajwa kusaidia kupunguza mimba [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2023 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.