Star Tv

Wabunge, Mawaziri pamoja na Naibu Mawaziri walioteuliwa na Rais Samia Suluhu hapo Hassan jana Machi 31, wamekula viapo vyao vya uaminifu leo April 01,2021 bungeni Dodoma.

Miongoni mwao ni Liberata Mulamula ambaye ameteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki, Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mbarouk Nassor.

Aidha, Dkt. Bashiru Ally ambaye alikuwa Katibu Mkuu Kiongozi pamoja nayeamekula kiabo kama mbunge aliyeteuliwa na Rais.

Hapo jana Rais wa Tanzania Samia suluhu Hassan alifanya mabadiliko madogo katika baraza jipya la mawaziri wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango, Ambapo Balozi wa Tanzania nchini Japan Hussein Yahya Katanga aliteuliwa kushika nafasi ya Katibu Mkuu Kiongozi.

Latest News

ZUMA ATAKIWA KUCHAGUA ADHABU KWA KUDHARAU MAHAKAMA.
14 Apr 2021 17:55 - Grace Melleor

Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma ametakiwa mpaka kufikia Jumatano awe amependekeza adhabu ambayo mahakama kuu  [ ... ]

RAIS TSHISEKEDI ADHIBITI BARAZA LAKE JIPYA LA MAWAZIRI.
13 Apr 2021 18:22 - Grace Melleor

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jumatatu alitangaza baraza jipya la Mawaziri katika hatua ambayo inaimar [ ... ]

MALIPO YA NDEGE MPYA TATU YAKAMILIKA.
13 Apr 2021 18:04 - Grace Melleor


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema tayari serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu.

Other Articles

Social Media

Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.