Tume ya Taifa ya uchaguzi NEC imesema ni marufuku kufanya mikutano ya siasa Kwenye kampeni za uchaguzi wa madiwani zinazoendelea nchini.
NEC imesema chama kina ruhusa kumnadi mgombe wake akiwa katika kata anayogombea na ni marufuku kufanya kampeni katika Kata isiyohusika hata kama ni jirani.
NEC imesema katika mikutano ya siasa chama hakitaruhisiwa kuzungumza mambo yaliyonje na kampeni