Star Tv
Mwanamke mmoja baada ya kunywa pombe na kulewa huku wakifurahia wakati waliokuwa nao, kwenye Mji wa Bangkon nchini Thailand akiwa na rafiki yake amegongwa na kupoteza maisha huku mwenzie akijeruhiwa vibaya baada ya kugongwa na treni walipokuwa wanapiga ‘selfie’. Rafiki huyo ambaye amejeruhiwa ameelezea mkasa huo na kusema walikuwa wamekunywa pombe na kulewa na ndio Marehemu akamwambia wakapige picha kwenye reli lakini hawakuwa wameona treni inayokuja upande mwingine. Tukio hilo lilitokea katika kituo cha treni cha Samsen February 8, 2018 na inaelezwa kuwa binti huyo aliyefariki alikuwa ana miaka 24 na aliumia vibaya mguu na alipoteza maisha akiwa anapatiwa matibabu hospitali.

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.