Star Tv

Mwanasoka wa zamani wa Klabu za Ac Milan, Monaco, PSG, Manchester City na mshindi wa Tuzo ya Ballon d’Or 1995  George Weah amechaguliwa kuwa Rais wa Liberia mara baada ya kushinda majimbo 12 kati ya 15 kwenye nchi hiyo ya Afrika Magharibi.

Kwa kupitia ukurasa wake wa Twitter amewashukuru watu wote waliompigia kura na wale ambao hawajampigia kura.

Weah amemshinda aliyekuwa Makamu wa Rais, Joseph Boakai mwenye umri wa miaka 75, ambaye amekuwa Makamu wa Rais kwa miaka 12, amepata kura katika majimbo mawaili tu.

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.