Star Tv

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kuwa wanafanya juhudi kubwa kuhakikisha wanawaondoa wanajeshi wao waliojeruhiwa katika jimbo la Mariupol.

Zelensky ametoa kauli hiyo katika matangazo ya kila wiki ambayo amekuwa akiyatoa tangu taifa lake lilipovamiwa na Urusi.

Itakumbukwa kwamba Urusi inataka sana kuchukua udhibiti wa mji wa Mariupol, ambao wamekuwa wakiupiga kwa makombora kwa miezi sasa.

Jeshi limetoa wito wa kuomba msaada baada ya wanajeshi wengi kujeruhiwa.

Katika hotuba hiyo, Rais Zelensky alisema kuwa wameanza mazungumzo ya kuangalia iwapo vikosi vya Urusi vitaruhusu kuwaondoa majeruhi amesema pia yalikuwa ni mazungumzo magumu mno.

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.