Star Tv

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson anatarajia kulihutubia Bunge huko Westminster siku ya Jumatatu.

Boris Johnson  mbali na kulihutubia bunge anatarajiwa kutangaza hatua pamoja na masharti mapya ya kuzuia kusambaa kwa virusi vya Corona.

Kupitia barua kwa Wabunge wa Uingereza iliyoandikwa na Mshauri wa Waziri Mkuu Edward Lister imeeleza kuwa;

"Kuongezeka kwa kiwango cha matukio katika maeneo mengine kunamaanisha kuwa kuna uwezekano kwamba maeneo mengine yatakuwa chini ya masharti zaidi”.

Aidha, kulingana na utafiti wa Ofisi ya Takwimu ya Kitaifa ya nchini humo (ONS) iliyotolewa Ijumaa imebainisha kuwa, wastani idadi ya kila siku ya visa vya maambukizi nchini Uingereza iliongezeka maradufu katika wiki moja mwishoni mwa mwezi uliopita.

Latest News

TEMBO 170 KUPIGWA MNADA NAMIBIA.
03 Dec 2020 10:05 - Grace Melleor

Tembo 170 watapigwa mnada nchini Namibia kwa kile kilichobainishwa kuwa ni adha ya kuongezeka kwa ukame huku kukishuhudi [ ... ]

BOKO HARAM WAKIRI KUTEKELEZA MAUAJI YA WAKULIMA 78.
02 Dec 2020 08:42 - Grace Melleor

Wanamgambo wa kundi la Kiislamu la Boko Haram wametoa video mpya ambayo inasema wapiganaji wake wa Boko Haram ndio walio [ ... ]

BOBI WINE AAHIRISHA KAMPENI ZA URAIS.
02 Dec 2020 08:19 - Grace Melleor

Mgombea wa urais nchini Uganda Robert Kyagulanyi, anayefahamika zaidi kama Bobi Wine ameahirisha kampeni zake.

Other Articles

Social Media

Copyright © 2020 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.