Wanaume wawili wamejaribu kumdunga kisu Rais wa mpito wa Mali Assimi Goïta katika msikiti uliopo katika mji mkuu, Bamako.
Add a commentWatu wenye silaha wamewateka nyara wanafunzi 140 kutoka shule ya sekondari ya Bethel Baptist iliyoko Kaskazini Magharibi mwa Nigeria.
Add a commentMahakama nchini Afrika Kusini imemhukumu kifungo cha miezi 15 aliyekuwa rais wa taifa hilo, Jacob Zuma.
Add a commentRais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma, aliyetakiwa kujisalimisha gerezani ili kukitumikia kifungo cha miezi 15 kwa kuupuza amri ya Mahakama, amesema hatotii hukumu hiyo.
Add a commentKatibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Gutterres amesema maeneo kadhaa katika jimbo la Tigray Kaskazini mwa Ethiopia yanakabiliwa na tisho la baa la njaa.
Add a commentSiku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]
Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.