Star Tv

Featured News

TEMBO 170 KUPIGWA MNADA NAMIBIA.
Tembo 170 watapigwa mnada nchini Namibia kwa kile kilichobainishwa kuwa ni adha ya kuongezeka kwa ukame huku kukishuhudiwa ongezeko kubwa la tembo nchini humo.
BOKO HARAM WAKIRI KUTEKELEZA MAUAJI YA WAKULIMA 78.
Wanamgambo wa kundi la Kiislamu la Boko Haram wametoa video mpya ambayo inasema wapiganaji wake wa Boko Haram ndio waliotekeleza mauaji ya wakulima 78 katika eneo la Zabarmari karibu na Maiduguri kask...
BOBI WINE AAHIRISHA KAMPENI ZA URAIS.
Mgombea wa urais nchini Uganda Robert Kyagulanyi, anayefahamika zaidi kama Bobi Wine ameahirisha kampeni zake.
 RAIS WA CHAD, IDRISS DEBY ATIMIZA MIAKA 30 MADARAKANI.
Desemba 1, 1990, Idriss Déby alichukua hatamu ya uongozi wa nchi ya Chad kufuatia mapinduzi ya kijeshi yaliyomuondoa, Hissène Habré.
TEMBO 170 KUPIGWA MNADA NAMIBIA.
BOKO HARAM WAKIRI KUTEKELEZA MAUAJI YA WAKULIMA 78....
BOBI WINE AAHIRISHA KAMPENI ZA URAIS.
RAIS WA CHAD, IDRISS DEBY ATIMIZA MIAKA...

Recent News

TEMBO 170 KUPIGWA MNADA NAMIBIA.

Tembo 170 watapigwa mnada nchini Namibia kwa kile kilichobainishwa kuwa ni adha ya kuongezeka kwa ukame huku kukishuhudiwa ongezeko kubwa la tembo nchini humo

Hii sio mara ya kwanza Namibia inauza wanyama kwa mnada, ambapo msimu wa kiangazi inaelezwa kuwa kunatokea mgogoro kati ya wanyama na binadamu ambao ndio unaifanya Namibia kuuza tembo hao 170 kwa mnada

Kwasababu ya ukame na kuongezeka kwa idadi ya tembo, na mgogoro kati ya tembo na binadamu, kumetambulika haja ya kupunguza idadi ya wanyama hao- kwa mujibu wa tangazo lililowekwa katika gazeti la New Era linalomilikiwa na serikali

Read More

Media Content

Radio Free Africa - Live

Kiss FM - Tanzania - Live

Star TV - Live Stream

Youtube Channel

Copyright © 2020 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.