Star Tv

Featured News

Uhaba wa maji Namtumbo Ruvuma: Wakazi wahofia kupata magonjwa ya tumbo
Wakazi wa kijiji cha Kitanda wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma wamekumbwa na hofu ya kupata magonjwa ya tumbo kutokana na kunywa maji machafu yasiyofaa kwa matumizi ya binadamu.
 Baada ya kujitoa uchaguzi s/mitaa: CUF yawaelekeza wanachama wake
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba amewataka wanachama wa chama hicho kuunganisha nguvu katika kudai uchaguzi huru na haki pamoja na tume huru ya uchaguzi.
 VIJANA WALIOMUUA MWALIMU MARA: Vyombo vya Dola vyaagizwa kuwasaka
Kamati ya ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Mara imeviagiza vyombo vya dola kuwasaka vijana watatu waliokimbilia nchi jirani ya Kenya baada ya kumchoma mkuki shingoni na kumuua mwalimu Justin Sospeter Ogo ...
 Kuimarisha sekta ya usafiri wa anga: Serikali yawahakikishia huduma ya kimataifa
Serikali imesema itahakikisha sekta ya usafiri wa anga nchini inaimarika ikiitaka mamlaka ya ufasiri wa anga nchini TCAA kuongeza uwajibikaji zaidi ili kuhakikisha huduma hiyo inapatikana kwa ubora ka...
Uhaba wa maji Namtumbo Ruvuma: Wakazi wahofia kupata...
Baada ya kujitoa uchaguzi s/mitaa: CUF yawaelekeza...
VIJANA WALIOMUUA MWALIMU MARA: Vyombo vya Dola...
Kuimarisha sekta ya usafiri wa anga: Serikali...

Recent News

Uhaba wa maji Namtumbo Ruvuma: Wakazi wahofia kupata magonjwa ya tumbo

Wakazi wa kijiji cha Kitanda wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma wamekumbwa na hofu ya kupata magonjwa ya tumbo kutokana na kunywa maji machafu yasiyofaa kwa matumizi ya binadamu

Kutokana na ukame wa maji uliopo kijijini hapo, wananchi na mifugo wanategemea kisima kimoja kupata maji ya kunywa jambo ambalo ni hatari kwa afya zao

Wakazi hao wamesema adha ya upatikanaji wa maji inakwamisha shughuli ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa nyumba bora kutokana na umbali wanakochota maji

Diwani wa kata ya Likuyu sekamagangaKasimu Gunda amesema maji hayo hayafai lakini kutokana na shida waliyonayo

Read More

World News

Hatua za usalama zaimarishwa mjini Cairo,mji mkuu wa Misri
Vikosi vya polisi nchini Misri vimetawanywa kwa wingi katika eneo la kati la mji mkuu Cairo na kuzifunga njia zote za kuingia katika uwanja mashuhuri wa Tahriri, kufuatia wito wa maandamano dhidi ya rais Abdel Fattah al Sissi. Wito huo unafuatia...
Read More

Media Content

Radio Free Africa - Live

Kiss FM - Tanzania - Live

Star Tv - Live Stream

Youtube Channel

Copyright © 2019 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.