Mke wa rais wa Zimbabwe Grace Mugabe ametoa wito akitaka makamu wa rais mwenye ushawishi kutimuliwa kutoka kwa chama cha Zanu-PF, kabla ya mkutano wake wa mwezi ujao, kwa mujibu wa gazeti la Herald.
Add a commentTume ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kwamba uchaguzi mkuu nchini humo sasa utafanyika Desemba 2018.
Add a commentShirika la haki za binadamu la Amnesty International limeikosoa mahakama ya kijeshi nchini Cameroon kwa kumhukumu kiongozi mmoja wa upinzani miaka 25 jela kwa makosa ya kuchochea uasi.
Add a commentSerikali ya Burundi imepiga marufuku upigaji wa ngoma katika mikutano isiokuwa rasmi ikiwemo sherehe za kitamaduni na harusi katika jaribio la kuhifadhi mila hiyo ya zamani ambayo inajuliakana kimataifa.
Add a commentUchaguzi wa marudio ambao ulipangiwa kufanyika leo nchini Kenya katika maeneo ambayo shughuli hiyo haikufanyika Alhamisi utafanyika katika vituo vya kupigia kura vitano pekee.
Add a commentBaadhi ya wazazi katika shule ya msingi Azimio A jijini Mwanza wamegoma kutoa mchango wa shilingi 500 kuwezesha watoto w [ ... ]
Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania TCAA imewataka wanafunzi kusoma masomo ya sayansi ili kutatua changamoto ya upungufu [ ... ]
Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye leo Desemba 4, 2019 ametangaza rasmi kuondoka Chama Cha Upinzani cha Demokrasia na M [ ... ]
Copyright © 2019 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.