Star Tv

Mamia kwa maelfu ya wakaazi wa Hong Kong wamefanya maandamano mjini humo jana kuupinga mpango wa serikali utakaoruhusu watuhumiwa kupelekwa China bara kukabiliwa na mashtaka.

Add a comment

Brussels:Viongozi wa Ulaya wanafanya kikao cha faragha leo kujadili kuhusu nyadhifa kuu za Umoja wa Ulaya, wakati mirengo pinzani katika bunge jipya la umoja huo ikijaribu kuunda mrengo wa siasa za wastani wenye viti vingi.

Add a comment

Leo waislamu katika nchi nyingi duniani wanaadhimisha  siku kuu ya Eid el-Fitr, baada ya mfungo wa mwezi mzima  wa Ramadhan ikiwa ni nguzo ya nne ya uislam.

Add a comment

Familia za wahanga wa mauaji ya Tiananmen nchini China wamefanya kumbukumbu ya miaka 30 tangu ukandamizaji huo wa vuguvugu la demokrasia ulipofanyika.

Add a comment

Kwa mujibu wa baraza la katiba nchini Algeria, uchaguzi wa rais uliopangwa kuitishwa mwezi wa Julai mwaka huu, utabidi uahirishwe.

Add a comment

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.