Star Tv

Mshauri wa Rais Donald Trump ambaye pia ni mkwe wake, Jared Kushner amefanya mazungumzo na waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu mjini Jerusalem, katika ziara anayoifanya Mashariki ya Kati kabla ya kuzindua mpango wake wa amani kati ya Israel na Wapalestina.

Add a comment

Mashambulizi ya anga yaliyofanywa dhidi ya eneo linalolidhibitiwa na wapiganaji wa jihadi la Kaskazini-Magharibi mwa Syria yameua kiasi raia 10.

Add a comment

Raia nchini Ufaransa na Ujerumani wanapiga kura leo katika siku ya mwisho ya uchaguzi wa Bunge la Ulaya ambapo vyama vinavyopinga Umoja wa Ulaya pamoja na uhamiaji vinatumai kutoa changamoto kubwa.

Add a comment

Kansela wa Austria Sebastian Kurz aliyeondolewa madarakani jana Jumatatu kupitia kura ya bunge ya kutokuwa na imani naye na hivyo kupisha njia kwa ajili ya uchaguzi mpya, ameapa kwamba chama chake kilicho na siasa za wastani za mrengo wa kulia kitarejea katika uongozi kikiwa na nguvu zaidi.

Add a comment

Rais wa zamani wa Argentina Cristina Fernandez de Kirchner amefunguliwa mashitaka ya rushwa, siku tatu baada ya kutangaza kuwania nafasi ya makamu wa rais katika uchaguzi wa Oktoba.

Add a comment

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.