Mashambulizi ya anga yaliyofanywa dhidi ya eneo linalolidhibitiwa na wapiganaji wa jihadi la Kaskazini-Magharibi mwa Syria yameua kiasi raia 10.

Hayo yameelezwa na kundi linalofuatilia haki za binadamu nchini Syria lenye makao yake nchini Uingereza. Watu saba waliuwawa katika kijiji cha Sarja kilichoko katika mkoa wa Idlib ambao kwa sehemu kubwa unadhibitiwa na kundi la Hayat Tahrir al Sham, ambalo wanachama wake wengi waliwahi kuwa na mafungamano na mtandao wa kigaidi wa al Qaeda nchini Syria.

CHANZO: Idhaa ya Kiswahili ya DW

Latest News

Mauaji ya kukata makoromeo, washtakiwa wahukumiwa. Bukoba
20 Jun 2019 08:21 - Kisali Shombe

MAUAJI YA KUKATA MAKOROMEO:Washtakiwa wahukumiwa kunyongwa hadi kufa Mahakama kuu kanda ya Bukoba  imewahukumu  kunyo [ ... ]

Kudorola kwa soko la Pamba.
19 Jun 2019 12:20 - Kisali Shombe

Madiwani halmashauri ya wilaya ya bariadi mkoani Simiyu wameilalamikia serikali kuhusu zao la pamba kukosa soko la uhaki [ ... ]

Adha ya maji, Kalambo
19 Jun 2019 11:23 - Kisali Shombe

Wananchi  katika   kjiji cha  Kisungamile  kata  ya  matai   wilayani  Kalambo  mkoani  Rukwa  wameiomba   [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2019 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.