Wanajeshi hao pia wametangaza kuunda Kamati ya Kitaifa kwa niaba ya raia, na kwamba wataheshimu mikataba yote ya kimataifa.
Rais wa Mali, Ibrahim Boubacar Keïta amejiuzulu muda mfupi baada ya kuwekwa kizuizini na Jeshi la nchi hiyo.
Add a commentTaifa la Zimbabwe limesema lipo mbioni kupitisha sheria mpya ambayo itatoa adhabu kali kwa vyama vya kisiasa vinavyofanya kampeni za kuharibu jina la nchi hiyo.
Add a commentWanamgambo wa kundi la Al Shabab nchini Somalia wamekiri kuwa wao ndio wametekeleza shambulio kubwa katika hoteli maarufu huko Mogadishu, inayotembelewa na maafisa wa serikali, na kuwaua raia kumi na afisa mmoja wa polisi, kulingana na ripoti rasmi iliyotolewa usiku wa kuamkia leo Jumatatu.
Add a commentMarais wanne wa nchi za Afrika Magharibi wanatarajia kufanya ziara Alhamisi hii, Julai 22 huko Bamako kwa lengo la kusuluhisha mzozo wa kisiasa kati ya vuguvugu la M5 na Rais wa nchi hiyo Ibrahim Boubacar Keita (IBK).
Add a commentSiku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]
Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.