Wanajeshi wanne wa Mali wameuawa katika shambulio lililotokea katikati mwa nchi hiyo Jumarano wiki hii.
Add a commentJeshi la Nchini Mali limeendelea kugonga vichwa vya habari ulimwenguni baada ya kufikia maamuzi ya kuteua viongozi katika nyadhifa mbalimbali leo Septemba 02,2020.
Kamati ya Kitaifa ya Wokovu wa Wananchi (CNSP), chombo kilichoundwa na kundi la jeshi lililofanya mapinduzi nchini Mali, Agosti 18, kinaendelea kujidhatiti. Viongozi kadhaa wameteuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali wakati rais aliye kuwa Ibrahim Boubacar Keïta akilazwa hospitalini.
Add a commentWapiganaji wa kundi la waasi wa Kiislamu kutoka Uganda la ADF wanashtumiwa kuua watu wasiopungua 20 katika shambulio waliotekeleza katika vijiji vitatu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kilomita 30 kaskazini magharibi mwa mji wa Beni.
Add a commentMkutano wa pili wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS, unafanyika leo Ijumaa Agosti 28082020 tangu kufanyika kwa mapinduzi nchini Mali.
Add a commentKundi la jeshi linaloshikilia madarakani nchini Mali limetoa nafasi kwa ujumbe wa Umoja wa Mataifa kukutana na rais Ibrahim Boubacar Keïta na kuchukua hatua ya kuwaachilia huru wafungwa wawili kabla ya ujumbe wa Jumuiya ya Kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS kuwasili jijini Bamako Jumamosi.
Add a commentSiku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]
Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.