Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani
Ambapo maji ni mojawapo ya rasilimali zetu zenye thamani zaidi na ni muhimu kabisa kwa uhai duniani, na kwa uzalishaji wa chakula
Ripoti ya Umoja wa Mataifa ya Maendeleo ya Maji Duniani (WWDR) ni ripoti kuu ya UN, kuhusu masuala ya maji na usafi wa mazingira
Ikizinduliwa katika Siku ya Maji Duniani, ripoti hiyo inaangazia mada tofauti kila mwaka na inatoa mapendekezo ya sera kwa watoa maamuzi kwa kutoa mbinu bora na uchambuzi wa kina
WWDR imechapishwa na UNESCO kwa niaba ya UN na
Read MoreCopyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.