Rais wa Marekani Donald Trump amesema ni heshima kuwa Marekani ina idadi kubwa ya maambukizi ya virusi vya corona duniani.
Add a commentRais wa Marekani, Donald Trump ametangaza usitishwaji wa mchango wa Marekani kwa Shirika la Afya Duniani (WHO) utaanza kutekelezwa mara moja ndani ya siku thelathini, ikiwa shirika hilo halitafanya maboresho makubwa ambayo aliyapendekeza.
Add a commentSerikali ya China imesema inajiunga na ubunifu wa ushirikiano wa kimataifa wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa ajili ya kukabiliana na virusi hatari vya Corona.
Add a commentWizara ya Afya nchini China imeripoti uwepo wa visa vipya 17 vya Corona, Visa hivyo ni kutoka miji ya Wuhan na Jilin.
Add a commentShirika la Afya Duniani limesihi watu kutoweka imani zao kwa dawa za mitishamba zinazotengenezwa na wenyeji kwa misingi ya kudai zina uwezo wa kukabiliana na virusi vya corona.
Add a commentSiku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]
Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.