Korea Kaskazini na Kusini wameanza mazungumzo kuhusu mpango wa kutuma timu kwa mashinndano ya msimu wa baridi yanayofanyika mwezi ujao nchini Korea Kusini.
Add a commentDari la jengo la jengo liliko soko la hisa mjini Jakarta limeanguka na kuna ripoti za majeruhi kadhaa.
Add a commentRais Donald Trump wa Marekani amefutilia mbali mpango wa kuzuru nchini Uingereza mnamo mwezi Februari ambapo alikuwa ametarajiwa kufungua ubalozi mpya wa taifa hilo uliogharimu takriban dola bilioni moja.
Add a commentKaribu watu 1,500 wamehamishwa kutoka visiwa vya Papua New Guinea, ambapo mlima ambao umekuwa umetulia kwa muda mrefu ulianza kulipuka, kwa mujibu wa shirika la msalaba mwekundu.
Add a commentMaafisa wa Ugiriki wanaoshika doria baharini wamesema wanaizuilia meli iliyokuwa inapeperusha bendera ya Tanzania ambayo ilikuwa imebeba vilipuzi.
Add a commentSiku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]
Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.