Star Tv

Madereva bodaboda nchini wameonywa dhidi ya tuhuma za kujihusisha kimapenzi na wake za watu pamoja na wanafunzi zinazowakabili baadhi yao na kulitia doa kundi hilo.

Habari na Laudence Simkonda .

Inspekta Filbert  Matowo  ambaye ni mkaguzi wa jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani  jiji la Mbeya, anabaisha kuwa vitendo vya baadhi ya madeleva kutembea na wake za watu vinawasababishia matatizo.

Kauli ya hii unaungwa mkono na baabdhi ya viongozi wa umoja wa madereva  bodoboda ambao wameuhakikishia umma huo kuachana na vitendo vya kuwarubuni wanafunzi na hatimaye wengi wao kukatisha safari yao ya elimu..

Taasisi ya Dira women Organization, imewakutanisha vijana hambao ni madereva wanaoendesha bodaboda kwa lengo la kuwapatia elimu  elekezi kwakuwa vitendo hivyo vinaelezwa kushamiri katika jamii.

                                                                                    Mwisho.

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.