MWANAMKE mmoja aliyejulikana kwa jina la Magreth Sinkamba mkazi wa kijiji cha Mpui Wilaya ya Momba Mkoani Songwe anashikiliwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za kumuua Mumewe kwa kipigo....

Imezoeleka katika jamii wanawake ndio wamekuwa wakipigwa na waume zao ama na wanaume kutokana na sababu  mbalimbali ikiwemo ugomvi wa kifamilia na wivu wa kimapenzi,  lakini katika tukio hili hali ni tofauti mwanamke amempiga Mumewe na kusababisha kifo.

 

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Kamishna msaidizi wa Polisi Mathias Nyange amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Matukio ya namna hiyo yamekuwa yakitokea lakini kuna usiri kwa wanaume kujitokeza Nyange anatoa Wito kwa Wanaume sasa kuvunja Ukimya pale wanapokutwa na maswahibu hayo.

 

 

Latest News

Rais wa zamani wa Misri Morsi aaga dunia mahakamani
18 Jun 2019 09:24 - Kisali Shombe

Rais wa zamani wa Misri, Mohammed Morsi amefariki dunia Jumatatu (17.06.2019) baada ya kesi yake kusikilizwa katika maha [ ... ]

Rais wa zamani wa Misri Morsi aaga dunia mahakamani
18 Jun 2019 09:23 - Kisali Shombe

Rais wa zamani wa Misri, Mohammed Morsi amefariki dunia Jumatatu (17.06.2019) baada ya kesi yake kusikilizwa katika maha [ ... ]

Chanjo ya Surua Rubella yatolewa Singida.
18 Jun 2019 08:52 - Kisali Shombe

Zaidi ya asilimia 80 ya  watoto  wenye umri wa chini ya miaka mitano, wamepatiwa chanjo ya  Surua Rubella  katika ha [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2019 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.