Star Tv

Chama cha Mapinduzi(CCM), kimetangaza majina ya wagombea wake walioteuliwa kuwania nafasi za ubunge kwenye majimbo pamoja na viti maalum.

Akizungumza leo na waandishi wa habari mara baada ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa(NEC) kukamilisha kazi yake, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Humphrey Polepole, amesema uamuzi huo umezingatia watu wabobezi, wanyenyekevu, wanaofanya kazi sambamba na serikali na kuwaleta wana CCM pamoja.

Miongoni mwa walioteuliwa ni pamoja na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima jimbo la Kawe, Meneja wa Daimond platnumz, Hamis Taletale, jimbo la Morogoro Mashariki, Hamisi Mwijuma maarufu Mwana FA jimbo la Muheza.

ANGALIA ORODHA YA MAJINA YA WAGOMBEA KUTOKA BAADHI YA MIKOA.

1. ARUSHA
Mjini- MrishoMashakaGambo
Arumeru Magharibi- Noah Lebrus Molel
ArumeruMashariki- John Palangyo
Karatu- Daniel Tlemai
Longido- Stephen Kirusya
Monduli- Fred Lowassa
Ngorongoro- Ole Nasha

2. DAR ES SALAAM
Ubungo- Prof Kitila Kitila
Kibamba- IssaJumanneMtemvu
Kinondoni- AbassTarimba
Kawe- AskofuJosephat Gwajima
Kigamboni- Dr.Faustine Ndugulile
Ilala- Mussa Zungu
Segerea- Bonna Kamoli
Ukonga- Jerry Slaa
Temeke- Doroth Kilave
Mbagala- Abdallah Chaurembo

3.DODOMA
Bahi- KenethNolo
Chamwino- Deo Dejembi
Mvumi- Livingstone Lusinde
Chemba- Mohammed Moni
Dodoma Mjini- Anthony Mavunde
Kongwa- Job Ndugai
Kondoamji- Ally JumaMakoa
Kondoa Vijijini- Dr.Ashatu Kijaji
Kibakwe- George Simbachawene
Mpwapwa- George Nataly Malima

4.GEITA
Busanda- Tumaini Magesa
GeitaMjini- Consatantine Kanyasu
Geitavijijini- Joseph Kasheku (Musukuma)
Bukombe- Dotto Biteko
Chato- Medard Kalemani
Mbogwe- Nicodemas Maganga
Nyang’alwe- Hussein Amar

5.IRINGA
Iringa Mjini- Jesca Msavatambangu
Kalenga- Jackson Kiswaga
Isimani- William Lukuvi
Kilolo- Lazaro Nyamoga
Mafingamji- Cosato Chumi
Mufindi Kaskazini- Exaud Kigahe
Mufindi Kusini- David Kihenzile

6.KAGERA
Bukoba Mjini- Stephen Byabato
Bukoba Vijijini- Jackson Rweikiza
Nkenge- Frolent Kyombo
Karagwe- Innocent Bashungwa
Kyerwa- Innocent Bilakwate
Ngara- Ndaisaba Luhoro
Bihalamuro- Ezra Chiwelesa
MulebaKaskazini- Charles Mwijage
MulebaKusini- Oscar Kikoyo

7.KATAVI
Mlele- Isack Kamwele
Kavuu- Geophrei MizengoPinda
Mpanda Mjini- Sebastian Kapufi
Nsimbo- Anna Lupembe
MpandaVijijini- Moshi Kakoso

8.KIGOMA
Kasulu Mjini- Prof Joyce Ndalichako
Manyovu- Dr. Philip Mpango
Buyungu- Aloyce Kamamba
Muhambwe- Atashasta Nditiye
KigomaMjini- Kirumbe Shabani Ng’enda
KigomaKaskazini- Asa Nelson Makanika
KigomaKusini- Nashon William
Kasuluvijijini- Augustine Hole

9.KILIMANJARO
Vunjo- Charles Kimei
Siha- Dr. Godwin Mollel
Moshi Vijijini- Prof. Patrick Ndakidemi
Hai- Salasisha Mafue
Same Mashariki- Anne Kilango Malecela
Same Magharibi- Dr.Mathayo David Mathayo
Rombo- Prof. Adolf Mkenda
Moshi Mjini- Priscus Tarimo
Mwanga- Anania Tadayo

10.LINDI
Kilwa Kaskazini- Ndulane Franscis
Kilwa Kusini- Kasinge Mohammed Ally
Liwale- Zuberi Kuchauka
Lindi Mjini- Hamida Mohammed Abdallah
Mchinga- Salma Kikwete
Mtama- Nape Nnauye
Nachingwea- Amandus Julius Chinguiye
Ruangwa- Kassim Majaliwa

11.MANYARA
Babati Mijini- Paulina Gekul
Babati vijijini- Daniel Silo
Hanang- Samwel Kadai
Mbulu Mjini-Isai Paulo
Mbulu Vijijini- Flatei Gregory
Kiteto- Edward Kisau
Simanjiro- Christpher Ole Sendeka

12.MARA
Musoma Mjini- Vedastus Manyinyi
Musoma Vijijini- Prof.Sospeter Muhongo
Bunda Mjini- Robert Chacha Maboto
BundaVijijini- Boniface Getere
Mwibara- Charles Kajege
Butiama- Jumanne Sagini
Rorya- Jaffary Wambura Chege
Tarime Mjini- Mwita Michael Kembaki
Tarime Vijijini- Mwita Waitara
Serengeti- Dr.Jeresabi Mkimi

13.MBEYA
Busekelo- Atupele Mwakibete
Kyela- Ally Jumbe
Lupa- Masache Kasaka
Mbarali- FranscisMtega
Mbeya Mjini- Dk. Tulia Akson
Mbeya Vijijini- Oran Njeza
Rungwe- Anthony Mwantona

14.MOROGORO
Mlimba- Godwin Kunambi
Kilombero- Abubakar Asenga
Morogoro Mjini- Abdul Aziz Abood
Gairo- Ahmed Shabiby
Malinyi- Antipas Mgungusi
Morogoro Kusini- Innocent Kalogeres
Morogoro Mashariki- Hamis Shaaban Taletale
Mvomero- Jonas Vanzilad
Mikumi- Deniss Lazaro Londo
Kilosa- Prof.Palamaganda Kabudi
Ulanga- Salim Hasham

15.MTWARA
Mtwara Mjini- Mtenga Hassan Selemani
Mtwara Vijijini- Hawa Ghasia
Nanyamba- Abdallah Chikota
Tandahimba- Katani Katani
Newala Mjini- George Mkuchika
Newala Vijijini- Maimuna Mtanda
Masasi- Geofrey Mwambe
Lulindi- Issa Mchungahela
Ndanda- Cecil David Mwambe
Nanyumbu- Yahaya Ali Mhata

16.MWANZA
Ukerewe- Joseph Mkundi
Ilemela- Dkt. Angelina Mabula
Sengerema- Tabasamu Hamis Mwagao
Buchosa- Erick Shigongo James
Nyamagana- Stanslaus Mabula
Misungwi- Alexander Mnyeti
Sumve- Kasalali Emmanuel Mageni
Kwimba- Shanif Mansour
Magu- Bonaventura Kiswaga

Katika uteuzi huo wabunge wakongwe ambao majina yao hayajafanikiwa kupita miongoni mwao ni Kangi Lugola, Dkt.Charles Tizeba, Omar Mgumba, Mary Nagu, Andrew Chenge, Peter Serukamba, Dkt.Harrison Mwakyembe, Prof.Juma Kapuya, Stephen Masele, Adadi Rajabu pamoja na Amos Makala. 

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.