Star Tv

Rais Magufuli leo May 30,2020 Mkoani Dodoma amewakabidhi Marais Wastaafu wa Tanzania kila mmoja Tausi 25 wanaopatikana Ikulu ya Chamwino.

Marais hao pamoja na Mama Maria Nyerere wamepewa tausi hao ili wakawatunze kwenye bustani zao.

Mama Maria Nyerere amekabidhiwa tausi hao kwa niaba ya Baba wa Taifa Mwl. Nyerere.

“Tausi hawa ambao kila Rais Mstaafu nimemkabidhi 25 wataanza kuondoka leo hii tumeshaandaa utaratibu kuwasafirisha kwenda Butiama, Msoga nk, ikitokea mmoja akafia njiani tutareplace (zimetolewa pia kilo 100 za chakula cha Tausi cha kuanzia kwa kila mmoja)”-JPM

Rais Magufuli amesema Tanzania haikuwahi kuwa na tausi, tausi hao waliltetwa na Baba wa Taifa na Mama Maria Nyerere anaifahamu zaidi historia yake.Mzee Mwinyi aliwakuta hakuwachinja kuwala nyama maana nyama yake tamu kuliko kuku,Pia rais Mkapa na Kikwete waliwatunza.

 

Latest News

TANZANIA, CHINA ZAAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO.
10 Jul 2020 13:10 - Grace Melleor

Tanzania na China zimeahidi kuendeleza ushirikiano wa kidiplomasia ili kuhakikisha kuwa nchi hizo zinakuwa na maendeleo  [ ... ]

Breaking News: DKT HUSSEIN MWINYI APITISHWA KUWA MGOMBEA URAIS ZANZIBAR.
10 Jul 2020 10:45 - Grace Melleor

Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM umempitisha Dkt Hussein Mwinyi kuwa mgombea wa Urais wa Zanzibar baada ya kupata kura  [ ... ]

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA KUFANYIKA SIMIYU TENA.
08 Jul 2020 16:48 - Grace Melleor

Serikali imetangaza kuanzia tarehe 01 hadi 08 Agosti, 2020 kutafanyika maadhimisho ya sikukuu ya wakulima Nanenane ambap [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2020 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.