Aliyekuwa Naibu Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Uhusiano wa Umma, wa Chama
cha Wananchi CUF Mbarara Maharagande amezungumzia mali za chama hicho na kiasi ambacho kimeshatumika.
Akizungumza na Starv TV Maharagande amesema wameacha mali za zaidi ya bilioni tatu huku ofisi nyingi za chama hicho Upande wa Unguja zikitolewa na wanachama kwa mapenzi yao.
 
Viongozi wa juu takribani 50 ambao walikuwa wanachama wa Chama cha CUF wanataraji kuchukua kadi za ACT Wazalendo katika ofisi za Chama cha ACT Wazalendo Jijini Dar Es Salaam naibu Mkurugenzi  Maharagande amesema kwa upande wa Unguja na Pemba bendera zote cha Chama cha wananchi Cuf zimeteremshwa katika ofisi ambazo walikuwa wanamuunga mkono Maalim Seif ikiwa ni pamoja na kufuta nembo za CUF. ambapo naibu huyo amewata wanachama wote ambao walikuwa wanamuunga mkono maalim seif kujiunga na ACT ili kuendeleza mapambano na Demokrasia ya kweli.


 

Latest News

Rais wa zamani wa Misri Morsi aaga dunia mahakamani
18 Jun 2019 09:24 - Kisali Shombe

Rais wa zamani wa Misri, Mohammed Morsi amefariki dunia Jumatatu (17.06.2019) baada ya kesi yake kusikilizwa katika maha [ ... ]

Rais wa zamani wa Misri Morsi aaga dunia mahakamani
18 Jun 2019 09:23 - Kisali Shombe

Rais wa zamani wa Misri, Mohammed Morsi amefariki dunia Jumatatu (17.06.2019) baada ya kesi yake kusikilizwa katika maha [ ... ]

Chanjo ya Surua Rubella yatolewa Singida.
18 Jun 2019 08:52 - Kisali Shombe

Zaidi ya asilimia 80 ya  watoto  wenye umri wa chini ya miaka mitano, wamepatiwa chanjo ya  Surua Rubella  katika ha [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2019 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.