Star Tv
UBADHIRIFU WA SH. BIL. 1.594: Mkuu wa Chuo cha  Ualimu Mpwapwa kumsimamisha kazi Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amemuagiza Katibu mkuu wa wizara hiyo kumsimamisha kazi na kumvua madaraka mkuu wa Chuo cha  Ualimu Mpwapwa Benjamini Mwilapwa na kisha kurudishwa Chuo cha Ualimu Ilonga wilayani Kilosa mkoani Morogoro ili kujibu tuhuma za ubadhirifu wa fedha za mradi wa ukarabati wa miundo Mbinu ya Chuo hicho kiasi cha cha shilingi bilioni 1.594

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.