Soko maarufu la mitumba jijini Mwanza lawaka moto na kukusanya umati wa watu wakishuhudia vitu vikiungua.

Soko hili maarufu kwa kuuza mitumba jijini Mwanza limewaka moto leo. Akiongea Mwenyekiti wa soko hilo ndugu Mansoor Ahmed ameiambia Star TV Habari kuwa moto huo ulianza majira ya  alfajiri na ambapo chanzo cha moto bado hakijajulikana, huku mali  zilizoteketea mpaka sasa thamani yake hazijajulikana pia.

Nae kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Jonathan Shana, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo  huku wananchi na jeshi la polisi wakishirikiana kuudhibiti ili usilete madhara zaidi. 

Latest News

Rais wa zamani wa Misri Morsi aaga dunia mahakamani
18 Jun 2019 09:24 - Kisali Shombe

Rais wa zamani wa Misri, Mohammed Morsi amefariki dunia Jumatatu (17.06.2019) baada ya kesi yake kusikilizwa katika maha [ ... ]

Rais wa zamani wa Misri Morsi aaga dunia mahakamani
18 Jun 2019 09:23 - Kisali Shombe

Rais wa zamani wa Misri, Mohammed Morsi amefariki dunia Jumatatu (17.06.2019) baada ya kesi yake kusikilizwa katika maha [ ... ]

Chanjo ya Surua Rubella yatolewa Singida.
18 Jun 2019 08:52 - Kisali Shombe

Zaidi ya asilimia 80 ya  watoto  wenye umri wa chini ya miaka mitano, wamepatiwa chanjo ya  Surua Rubella  katika ha [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2019 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.