Star Tv

Kivuko cha MV Kitunda kinachofanya safari zake kutoka Lindi mjini Kuelekea ng’ambo ya pili ya bahari kimesitisha safari zake baada ya kupata hitilafu za kiufundi

Kutokana na kivuko hiki kusitisha safari zake hali hiyo imewalazimu wakazi wa kata ya Kitumbikweal mkoani Lindi kukosa huduma ya usafiri huku baadhi yao wakilazimika kutumia mitumbwi.

Mapema leo hii Halmashauri ya manispaa waliombwa boti yake ianze kutoa huduma pamoja na mitumbwi ya watu binafsi ambayo ni salama kwa usafirishaji.

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.