Star Tv

Tume ya kudhibiti Ukimwi nchini (TACAIDS)  imetoa ripoti mpya ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI nchini ambapo ripoti hiyo imeeleza kuwa jumla ya watu 225 huambukizwa VVU kila siku.

Tume ya kudhibiti Ukimwi nchini (TACAIDS)  imetoa ripoti mpya ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI nchini ambapo ripoti hiyo imeeleza kuwa jumla ya watu 225 huambukizwa VVU kila siku.

Akitoa ripoti hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS Dk. Leonard Maboko ameeleza kuwa hali hiyo inaonesha kuwa watu 6,750 huambukizwa kila mwezi huku 81,000 huambukizwa kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Dk. Maboko alieleza kuwa hali hii ya maambukizi ni mbaya zaidi kwa vijana katika ya miaka 15 na 24 ambapo asilimia 40 ya maambukizi mapya hutokea kwa vijana wa kundi hili la umri, na wengi wao wakiwa wanawake.

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.