Mkuu wa majeshi nchini Algeria ametaka rais wa nchi hiyo mwenye umri wa miaka 82, Abdelaziz Bouteflika atangazwe kuwa hana uwezo wa kuongoza nchi. Mkuu huyo wa majeshi Ahmed Gaid Salah amesema Bouteflika anaweza kuondolewa madarakani kwa mujibu wa katiba.
Chanzo: Idhaa ya Kiswahili DW