Star Tv
Mamlaka nchini Peru zimemkamata mfungwa zaidi ya mwaka mmoja tangu atoroke jela kwa kumuacha ndugu yake pacha katika nafasi yake Alexander Delgado alikuwa akitumikia kifungo cha miaka 16 wa dhuluma ya kingono kwa mtoto na wizi kwenye gereza moja kaskazini mwa Lima. Wakati ndugu yake pacha alimtembela gerezani mwezi Januari mwaka uliopita, Alexander alimwekea dawa ya kulevya, akambadilisha nguo zake na kutoroka jela. Mabadiliko hayo kwa wafungwa yalithibitiswa wakati alama za vidole za Giancarlo zilichukuliwa.Baada ya miezi 13 mafichoni Alexander Delgado alaikamatwa siku ya Jumatatu katika mji wa bandari wa Callao baada ya wizara ya masuala ya ndani kutangaza zwadi kuhusu bahari ambazo zingepelekea akamatwe. Sasa anatarajiwa kuhamishwa kwenda kwa grereza lenye ulinzi mkali kusini mwa nchi. Wakati Alexander akiwa mafichoni ndugu yake Giancarlo alikamatwa na kuchunguzwa akishukiwa kushirikiana na pacha wake. Lakini hakushtakiwa na sasa ameachiliwa. Akiongea na vyombo vya habari Alaxander Delgadoi alisema alitotoroka kwa sababu alikuwa ana hamu sana ya kumuona mama yake.

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.