Star Tv

Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imekanusha kuhusika kwa namna yeyote katika tukio la kumdunga kisu mwandishi Salman Rushdie.

Msemaji wa wizara amewaambia waandishi wa habari kwamba Iran haioni kwamba hakuna mtu anayestahili kulaumiwa na kushutumiwa isipokuwa yeye na wafuasi wake.

Wakala wa Rushdie jana Jumapili alisema kwamba wakati mwandishi huyo anakabiliwa na majeraha ya kudungwa kisu hali yake inaendelea vizuri.

Mshambuliaji alimdunga kisu mara kadhaa Rushdie siku ya Jumapili alipokuwa karibu kutoa hotuba kuhusu uhuru wa kisanii katika Taasisi ya Chautauqua magharibi mwa jimbo la New York.

#ChanzoVOA

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.