Star Tv

Mwanamageuzi mkongwe wa Urusi ambaye pia ni mshauri wa Rais Vladimir Putin amejiuzulu katika wadhfa wake.

Anatoly ni mmoja wa washauri wa Putin ambaye amejiuzulu kutoka jukumu lake kama mjumbe wa kimataifa na ni afisa mkuu zaidi kujiuzulu tangu kuanzishwa kwa uvamizi wa nchini Ukraine.

Ripoti za Urusi zimesema kwa sasa Chubais yuko Uturuki na mkewe.
Bwana Chubais alipewa kazi ya kuratibu malengo ya maendeleo endelevu ya Urusi kimataifa.

Baada ya vita kuanza alichapisha picha ya kiongozi wa upinzani aliyeuawa, katika kile kilichoonekana kama ishara mbaya.

Chanzo kimoja kililiambia shirika la habari la Tass kuwa ameondoka Urusi na pia kujiuzulu uwakilishi maalum wa Rais Putin. Pia hajatoa maoni yoyote kuhusu kujiuzulu kwake.

"Ndiyo, Chubais amejiuzulu kwa hiari yake mwenyewe. Lakini ikiwa ameondoka [Urusi] au amebaki, hilo ni jambo lake binafsi," - msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov alisema.

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.