Star Tv

Urusi imeiomba China usaidizi wa kijeshi pamja na ule wa kiuchumikulingana na ripoti katika magazeti ya Financial Times na lile la New York Times.

Moscow inaitaka Beijing kuwapatia silaha ili kutumia nchini Ukraine, gazeti la Financial Times limesema.

Huku likikataa kuwataja baadhi ya maafisa wa Marekani iliowanukuu, Gazeti la Financial Timesliliripoti kwamba Urusi imekuwa ikiomba China kuwapatia usaidizi wa silaha tangu uvamizi ulipoanza.

Hatahivyo maafisa hao hawakusema ni aina gani ya silaha ambazo Urusi inaziomba.

Ripoti hizo zimesema kuwa kuna ishara kwamba China inajiandaa kuisaidia Urusi.

Ripoti moja katika gazeti la New York Times ikiwanukuu maafisa wa Marekani inadai kwamba Urusi pia inaomba msaada wa kiuchumi ili kukabiliana na athari za vikwazo.

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.