Star Tv

Wizara ya Afya nchini Uganda imethibithisha kuwa watu wenye maambukizi ya Virusi vya Corona nchini humo wamefikia 74 baada ya watu 11 kupimwa na kubainika wameambukizwa virusi hivyo.

Kati ya wagonjwa hao 11 watu sita ni raia kutoka Tanzania ambao ni madereva wa magari ya mizigo, na watano wanatoka nchini Kenya.

Wizara ya Afya nchini humo imetoa taarifa ya wagonjwa 46 kupona na kuruhusiwa kurejea nyumbani huku hakuna kifo chochote kilichoripotiwa.

Aidha, visa hivi vinaendelea kuongeza huku katazo la Rais Museven alilowataka watu kuendelea kusalia ndani nyumbani bado likiwa halijaondolewa nchini humo.

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.