Star Tv
Wakili maarufu wa Haki za Binadamu Haron Ndubi ambaye amefikishwa Mahakamani asubuhi ya leo February 12, 2018. Wakili Ndubi amefikishwa Mahakamani baada ya kubishana na Maaskari wa barabarani baada ya kukataa kufuata maelekezo aliyopewa na askari hao, tukio ambalo limetokea katika Barabara ya Jakaya Kikwete. Inaelezwa kuwa Maaskari hao walimwagiza kupumua kwenye kifaa maalumu cha kupima dereva ana kiwango gani cha pombe mwilini kutokana na kuhisi kuwa Wakili huyo alikuwa akiendesha gari akiwa amelewa. Hata hivyo ameachiwa kwa dhamana ya Ksh 30000 sawa na Tshs 67000.

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.