Star Tv

Maduka ya wafanyabiashara wa Afrika Kusini nchini Nigeria yalivamiwa jana ikiwa ni hatua ya kujibu, mashambulizi ya hivi karibuni katika taifa hilo la Kusini mwa Afrika kufuatia wimbi jipya la chuki dhidi ya wageni.

Mashambulizi ya jana yametokea zaidi katika mji wa kibiashara wa Lagos pamoja na mji mkuu wa Abuja, na miji ya Ibadan na Uyo. Vijana walioshikwa na hasira walichoma ofisi za kampuni ya simu ya Afrika Kusini ya MTN, na kuvamia maduka ya Shoprite. Maduka mengine yanayomilikiwa na wafanyabiashara wa Afrika Kusini, yalikuwa chini ya ulinzi wa polisi. Maelfu ya vijana pia waliandamana katika mji mkuu wa Zambia, Lusaka dhidi ya mashambulizi ya chuki dhii ya wageni. Umoja wa Afrika, rais wa Nigeria na mwenzake wa Afrika kusini wote wamelaani vurugu hizo.

 

CHANZO: Idhaa ya Kiswahili DW

Latest News

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Urusi Kuchagiza Maendeleo Afrika kupitia Nishati ya Nuklia na Madini ya Urani
12 Aug 2023 10:07 - Kisali Shombe

ROSATOM, taasisi ya nishati ya nyuklia ya serikali ya Urusi ambayo iliwaalika zaidi ya waandishi wa habari 15 kutoka nch [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.