Star Tv

Na katika michezo , mashindano ya fainali za kombe la mataifa ya Afrika AFCON yanayoendelea nchini Misri, jana Cote d'Ivoire iliishinda Afrika kusini kwa bao 1-0, nayo, Tunisia ikatoka sare ya bao 1-1 na Angola na Mali iliirarua Mauritania kwa mabao 4-1.

Leo kundi F linaingia dimbani wakati mabingwa watetezi cameroon itakapotiana kifuani na Gzinea Bissau na Ghana ina miadi na Benin. Wakati huo huo mlinzi wa Senegal Salif Keita ambaye anachezea klabu ya Ujerumani ya Schalke o4 atakosa michezo karibu miwili ya mashindano hayo baada ya kupata maumivu katika kifundo cha mguu katika ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tanzania siku ya Jumapili, limesema shirikisho la kandanda la Senegal jana.

CHANZO: Idhaa ya Kiswahili DW

Latest News

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Urusi Kuchagiza Maendeleo Afrika kupitia Nishati ya Nuklia na Madini ya Urani
12 Aug 2023 10:07 - Kisali Shombe

ROSATOM, taasisi ya nishati ya nyuklia ya serikali ya Urusi ambayo iliwaalika zaidi ya waandishi wa habari 15 kutoka nch [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.