Star Tv

Mpira mpya utatumiwa katika mechi za hatua ya muondoano katika Kombe la Dunia nchini Urusi, shirikisho la soka duniani Fifa limetangaza.

Mpira huo uliopewa jina Telstar Mechta utachukua nafasi ya Telstar 18, mpira wa Adidas ambao umetumiwa katika hatua ya makundi.

Gozi hilo jipya lina mapambo ya rangi nyekundu, na linadaiwa kuchochewa na rangi za taifa la taifa mwenyeji, Urusi, pamoja na "joto linaloongezeka kimichezo katika hatua ya muondoano".

Mechta kwa lugha ya Kirusi maana yake ni "Ndoto".

Mpira huo utatumiwa kwa mara ya kwanza Jumamosi. Kumekuwa na miundo mikuu 20 ya mipira tangu kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia 1930.

Kwa hisani ya BBC

Latest News

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Urusi Kuchagiza Maendeleo Afrika kupitia Nishati ya Nuklia na Madini ya Urani
12 Aug 2023 10:07 - Kisali Shombe

ROSATOM, taasisi ya nishati ya nyuklia ya serikali ya Urusi ambayo iliwaalika zaidi ya waandishi wa habari 15 kutoka nch [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.