Star Tv

Bingwa namba 22 Duniani katika ubora wa Tennis Jack Sock amaefanikiwa kutwaa taji lake la kwanza la Paris master kwa kumfunga Filip Rajinovic kwa 5-7 6-4 6-1.

Kwa ushindi wa Sock sasa anapata nafasi ya kucheza fainal ya ATP tour dhidi ya Pablo carreno Busta raia wa Hispania huku akisubiri ushindani wa mabingwa wengine watakao shiriki katika fainal hizo.

Sock anaeonyesha ushindani mkubwa katika tennis huenda akaingia katika nafasi 10 za juu za viwango vya Tennisi Duniani vitavyotangazwa kabla ya Droo ya ATP Tour mjini London November 12-19.

Sock amekuwa mwamerika wa kwanza kushinda taji hilo la Paris Master tangu mwaka 1999 aliposhinda Andre Agassi.

Picha na mtandao

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.