Star Tv
Kutoka nchini Syria, leo February 21, 2018 taarifa zilizoenea ni kwamba watu zaidi ya 250 wameuawa katika saa 48 zilizopita kutokana na mashambulio ya anga na silaha za ndege katika mji wa Ghouta Mashariki nchini humo. Taarifa hii imetolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa Uangalizi wa Haki za Binadamu la Syria ambalo liko nchini Uingereza ambalo limesema idadi hiyo ya vifo inahusisha watoto 58 na wanawake 42. Shirika hilo limeeleza kuwa zaidi ya watu 1,200 wamejeruhiwa vibaya na mashumbulio hayo na kueleza kuwa takwimu hizo za vifo ni za juu zaidi tangu litokee shambulio la kemikali hapo hapo Ghouta Mashariki ambalo liliua takribani watu 1400.

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.