Star Tv
Kutoka Uingereza siku za hivi karibuni wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Edinburgh, wameeleza kuwa yai la binadamu (mwanamke) linakuzwa katika maabara kwa mara ya kwanza duniani. Wataalamu hao wanaeleza kuwa Teknolojia hii mpya itasaidia kuvumbua njia mpya za kuhifadhi uzazi wa watoto ambao wako kwenye matibabu ya magonjwa ya saratani na pia ni fursa ya kuchunguza jinsi yai la binadamu linavyokua jambo ambalo milele yote limekuwa siri kwa sayansi. Inaelezwa kuna imechukua miaka mingi ya kufanyia kazi teknolojia hiyo na hata walipofikia bado haijaweza kuanza kutumika rasmi na kwamba wataalamu sasa wataweza kukuza yai la mwanamke hadi kukomaa kabisa likiwa nje ya ovari.

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.