Star Tv

Vyama vinavyounga mkono jimbo la Catalonia kujitenga na Uhispania vimeshinda uchaguzi wa jimbo la Catalonia.Vyama vinavyounga mkono jimbo la Catalonia kujitenga na Uhispania vimeshinda uchaguzi wa jimbo la Catalonia.

Ikiwa kura zote zinakaribia kukamillika kuhesabiwa Katika rekodi ya wapiga idadi ya wapiga kura ambao wamejitokeza vyama hivyo vinaonekana kushinda jambo kimepunguza kidogo idadi ya viti bungeni.

Matokeo hayo kwa vyovyote ni habari mbaya kwa waziri mkuu wa Hispania,Mariano Rajoy ambaye aliingilia kati jimbo hilo kujitenga hivi karibuni na kuitisha uchaguzi huo.

Akiwa uhamishoni mjini Brussels aliyekuwa rais wa Catalonia ,Carles Puigdemont amepongeza matokeo hayo na kusema ni ushindi wa demokrasia kwa sabbu idadi kubwa ya watu walijitokeza ,rekodi ya watu waliopiga kura na idadi ya waliojitokeza ndio iliyosababisha matokeo haya na hakuna anayeweza kuyapinga.

Hata hivyo baada ya uchaguzi huo tatizo kubwa kwa pande zote ni kwamba hakuna uhakika kuwa uchaguzi huo na matokeo hayo yanawea kutatua mgogori huo unaendelea baina ya Catalonia na serikali ya Madrid.

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.