Katika ulingo wa mieleka , mbabe wa mieleka Roman Reigns ametetea mkanda wake wa muungano wa mabara baada ya kuchapa wachezaji mieleka wawili Themiztourage katika mpambano uliokua na kila aina ya purukushani.
Mcheza mieleka aliyeonekana kuingilia katika kila mara,akitaka Roman ashindwe,dhamira yake iliambulia patupu kwa vile Roman Reigns ambaye nyumbani ni mpole akipenda zaidi kuwa karibu na binti yake alitoa kipigo cha haja na kutetea mkanda wake.
Kabla ya kuingia katika mchezo wa mieleka,Roman Rigns alikuwa ni mchezaji wa American Football.
Picha na mtandao.