Star Tv

Rais wa Tanzania Samia Suluhi Hassan ameipongeza klabu ya Simba kwa kufanikiwa kufuzu hatua ya makundi ya klabu bingwa Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya timu ya Primeiro de Agosto ya Angola.

Rais Samia ametoa pongezi hizo kupitia ukurasa wake wa twitter pamoja na kuwatakia kila la heri katika michuano inayofuata.

Mchezo huo uliochezwa katika uwanja wa taifa na umeiibua timu ya simba kuwa mshindi kwa bao lililofungwa na Moses Phiri.

Aidha katika mchezo wa kwanza Angola, Simba iliibuka na ushindi wa mabao 3-1, na sasa imefuzu kwa jumla ya mabao 4-1.

Latest News

Waziri Mkuu Akagua Visima Vya Dharura Dar Es Salaam
10 Nov 2022 13:31 - Kisali Shombe

¬†WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua visima vya dharura vinavyosafishwa, kufufuliwa na kuunganishwa katika mfumo wa us [ ... ]

Waziri Wa Afya Aagiza Udhibiti Magonjwa Ya Mlipuko
09 Nov 2022 14:15 - Kisali Shombe

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ameagiza vituo vyote vya kutolea huduma za afya vya binafsi na serikali kuweka kituo maalum  [ ... ]

Vifo vitokanavyo na Utoaji wa Mimba usio salama, Kudhibitiwa
09 Nov 2022 13:21 - Kisali Shombe

Mpango wa idara ya afya wa kutoa elimu ya afya ya uzazi na matumizi ya uzazi wa mpango unatajwa kusaidia kupunguza mimba [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2023 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.